University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Nyegezi ni stand ya mabasi yaendayo mikoani na daladala iliyopo MWANZA.
Ambaye alikuwa hajui maana ya nyegezi Ndo hiyo.
Ambaye alikuwa hajui maana ya nyegezi Ndo hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulazimishwi kumpenda sisi tunampenda okUkitoa matusi ya kusifia kula mgongo na mengine kwenye nyimbo za diamond hana cha zaidi.
Ndo maana namkubali aslay hana matusi na nyimbo ina kiswahili fasaha kabisa na nzuri. Nyimbo anazoimba diamond now kama uko na bimkubwa halafu redio imeplay lazima ubadili station. Maana ni udhalilishaji.mwanzo mwisho.....
Team diamond ruksa povu!![emoji6]
Mimi namsikilza lil Wayne hapa ... Can't broken ngoma Kali sana hiiWabongo kweli mna roho ngumu, yaani mmekosa kabisa nyimbo za kuskiliza???? Si bora muskilize hata kina Wizzy, wakina Breezy, wakina Jizoooo, cole etc... Huo nao nauona bado waafrica tuna utumwa wa fikra bado
Ulishawahi kuyaweka katika lugha ya KISWAHILI hayo maneno wanayoimba wakina Davido na Wizkid?Diamond ukiondoa scandal na matusi kwenye nyimbo zake hana kingine cha maana kwenye mziki wake.
Wakati wakina wizkid na Davido wanazidi kung'aa yeye kutwa kuimba upuuzi. Tunaona mwaka huu davido aliibuka na tuzo kubwa ya BET wakati yeye hakuwa hata nominated.
Ninamkubali sana Mondi ila anakoelekea siko.
Sasa ninamsubiri Mwanaume Mwenye vibasaba vya wakina James delicious ajitangaze rasmi kuja kumjibu "kihunihuni" mwanaume wa mkoani.
Bora kuwasikiliza akina nani???Wabongo kweli mna roho ngumu, yaani mmekosa kabisa nyimbo za kuskiliza???? Si bora muskilize hata kina Wizzy, wakina Breezy, wakina Jizoooo, cole etc... Huo nao nauona bado waafrica tuna utumwa wa fikra bado
Naona mnahangaikaaa kuuponda huu wimbo...
Ni kweli mjimbo wote ni matusi mwanzo mwisho
Ila Basata kuufungia msahau...wakiufungia ntakata gogo kuanzia posta mpaka mbagala ...tena kwa mafungu mafungu
Mkuu BASATA wamenisikia , nyimbo iko lokapu aka behind barsNaona mnahangaikaaa kuuponda huu wimbo...
Ni kweli mjimbo wote ni matusi mwanzo mwisho
Ila Basata kuufungia msahau...wakiufungia ntakata gogo kuanzia posta mpaka mbagala ...tena kwa mafungu mafungu
Oya umeshakunya au bado?Naona mnahangaikaaa kuuponda huu wimbo...
Ni kweli mjimbo wote ni matusi mwanzo mwisho
Ila Basata kuufungia msahau...wakiufungia ntakata gogo kuanzia posta mpaka mbagala ...tena kwa mafungu mafungu
Mkuu umewasikia BASATA? Maana watu Kama nyie kasi yenu ni kusifia ujinga tu kwasababu unampenda mtu
Wewe ndo unajitoa akili, mtu anaimba nyege nyege nyege nyegezi alafu unajifanya huoni tatizo au huelewi inasound vipi mbele ya jamiiSasa basata si wapuuzi tu kama wewe
Unajua sisi waafrica tumezoea kulalamika sana, sasa mleta mada anataka wimbo wa Diamond ufungiwe... Nikamwona kama ni mtumwa kwani ukiachana na diamond hamna mwanamziki mwingine, basi wote tusklize nyimbo za kaswida na nyimbo za diniBora kuwasikiliza akina nani???
Hivi ni kweli hao uliowataja hawaimbi MATUSI?
Unajua kuna muda inashangaza kiasi,unakuta mtu anadai kuchukizwa na maneno anayotumia Diamond katika nyimbo zake,lakini wakati huo huo unakuta huyo mtu ni mfuasi mzuri wa wasanii wa Marekani. Pia unakuta kwenye vifaa vyake vya kutunzia nyimbo kuna nyimbo za akina Cardi B na Nicki Minaj,na watoto wake wanasikiliza pia.
Ahahaaah,inachekesha sana.
J.Cole,Kendrick Lamar, Lil Wayne, Young Thug, Nicki Minaj, Cardi B, wote hawa nyimbo zao zina matusi mengi tu.
Tupac na Big pia walikua wanaimba matusi pia.
Au matusi ya lugha ya kigeni ni MATAMU? Sidhani!!!
Jambo la msingi,lea vizuri mtoto wako,mfundishe kipi cha kupenda na kipi cha kuchukia kulingana na umri wake. Usitegemee Diamond atakuja kufanya muziki akiwa na lengo la kufanya kijana wako awe na tabia njema, muziki kwake ni biashara.
Waafrika,hapana nafikiri ni Watanzania, bado hawajajua ni mambo gani ya kuyapa kipaumbele na mambo gani ni ya kuyapuuzia.Unajua sisi waafrica tumezoea kulalamika sana, sasa mleta mada anataka wimbo wa Diamond ufungiwe... Nikamwona kama ni mtumwa kwani ukiachana na diamond hamna mwanamziki mwingine, basi wote tusklize nyimbo za kaswida na nyimbo za dini