Razack Siwa atua Jangwani

Razack Siwa atua Jangwani

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Katika kuhakikisha tunafanikiwa kutwaa vikombe viwili tunanavyowania msimu huu, klabu ya Yanga imeendelea kuboresha benchi lake la ufundi.

Razaq siwa kocha bora kabisa wa makipa katika ukanda huu anarudi tena jangwan ambako amehudumu mara kadhaa.

Kocha huyo raia wa Kenya ambaye amekuwa na bahati ya Makombe kwenye klabu ya Yanga Razack Siwa amewasili jijini Dar es salaam tayari kwa ajili ya kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria.

Siwa ambaye amewanoa magolikipa mbalimbali ndani ya Yanga kama Ally Mustapha Barthez, Deogratius Munishi Dida na wengine wengi, amekuja kuongeza nguvu kumalizia Msimu wa ligi akichukua nafasi ilibaki wazi baada ya kuondoka kwa Vladimir Niyonkuru.

Hii si Mara ya kwanza kwa Siwa kuifundisha Yanga na Mara zote amekuwa akifundisha kwa mafanikio makubwa.

Kocha huyo anakuja kuungana na mchezaji wake aliyefanya nae kazi Bandari fc ya Mombasa Farouk Shikalo.

Kila la kheri Siwa na karibu tena Yanga, karibu tena Tanzania.

#SisiNiMashahidiTu
#hallaywsmm[emoji1241]

IMG_20210327_163943_881.jpg
 
Karibu Jangwani bwana Siwa! Kaa na vijana wako Shikalo, Metacha na Kabwili waeleze tumechoka kufungwa magoli ya kizembe!
 
Yaani shida ipo kwa maFoward nyie nmaleta kocha wa Magolikipa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Nizar, hatakaa hata mwezi na huyu.

Uto saivi ni kipigo kimoja, benchi zima linatimuliwa.

Mi naona wajiite Comedy FC, maana kila wafanyacho ni kiburudisho tu kwa wapinzani.
 
Uto bana

Mmekuwa kama wale madaktari wa Muhimbili, mgonjwa wa kichwa akafanyiwa operation ya goti

Shida ipo ktk foward lakn mnaleta Kocha wa magolikipa 😀
 
Katika kuhakikisha tunafanikiwa kutwaa vikombe viwili tunanavyowania msimu huu, klabu ya Yanga imeendelea kuboresha benchi lake la ufundi.

Razaq siwa kocha bora kabisa wa makipa katika ukanda huu anarudi tena jangwan ambako amehudumu mara kadhaa.

Kocha huyo raia wa Kenya ambaye amekuwa na bahati ya Makombe kwenye klabu ya Yanga Razack Siwa amewasili jijini Dar es salaam tayari kwa ajili ya kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria.

Siwa ambaye amewanoa magolikipa mbalimbali ndani ya Yanga kama Ally Mustapha Barthez, Deogratius Munishi Dida na wengine wengi, amekuja kuongeza nguvu kumalizia Msimu wa ligi akichukua nafasi ilibaki wazi baada ya kuondoka kwa Vladimir Niyonkuru.

Hii si Mara ya kwanza kwa Siwa kuifundisha Yanga na Mara zote amekuwa akifundisha kwa mafanikio makubwa.

Kocha huyo anakuja kuungana na mchezaji wake aliyefanya nae kazi Bandari fc ya Mombasa Farouk Shikalo.

Kila la kheri Siwa na karibu tena Yanga, karibu tena Tanzania.

#SisiNiMashahidiTu
#hallaywsmm[emoji1241]

View attachment 1735841

Huyu Kocha ana mambo ya Kimombasa ( kupenda 0713 ) sana kwa Wachezaji na Uongozi wa Kipindi chake ulishajulishwa leo karudishwa tena.

Sasa wale Wachezaji wa Yanga SC wanaojiremba na kupaka Dawa Nywele na wa Kupenda Kukatika hovyo Uwanjani wamempata Mwamba ( Mtu ) wa Kuwatuliza Kocha Razaq Siwa.

Kwao huko anasifika kwa Usodoma huo.
 
Back
Top Bottom