moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Katika kuhakikisha tunafanikiwa kutwaa vikombe viwili tunanavyowania msimu huu, klabu ya Yanga imeendelea kuboresha benchi lake la ufundi.
Razaq siwa kocha bora kabisa wa makipa katika ukanda huu anarudi tena jangwan ambako amehudumu mara kadhaa.
Kocha huyo raia wa Kenya ambaye amekuwa na bahati ya Makombe kwenye klabu ya Yanga Razack Siwa amewasili jijini Dar es salaam tayari kwa ajili ya kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria.
Siwa ambaye amewanoa magolikipa mbalimbali ndani ya Yanga kama Ally Mustapha Barthez, Deogratius Munishi Dida na wengine wengi, amekuja kuongeza nguvu kumalizia Msimu wa ligi akichukua nafasi ilibaki wazi baada ya kuondoka kwa Vladimir Niyonkuru.
Hii si Mara ya kwanza kwa Siwa kuifundisha Yanga na Mara zote amekuwa akifundisha kwa mafanikio makubwa.
Kocha huyo anakuja kuungana na mchezaji wake aliyefanya nae kazi Bandari fc ya Mombasa Farouk Shikalo.
Kila la kheri Siwa na karibu tena Yanga, karibu tena Tanzania.
#SisiNiMashahidiTu
#hallaywsmm[emoji1241]