Karibu mkoani Morogoro Karibu katika mkoa wa kilimo.
Tunakuomba utuombee kwa jamii ya wafugaji watuachie tuondoe kidogo tulichopata shambani na baada ya hapo wachunge watakavyo.
Kwa mfumo wetu wa haki jinai wakulima wadogo hatuna ubavu mbele ya jamii hii ya wafugaji. Tuombee tu watuhurumie tuokoteze hata mbegu.
Karibu Morogoro.