Rc Arusha adaiwa kufumaniwa ugoni

ngurdoto

Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
58
Reaction score
23
Wadau, Naomba kuwasilisha taarifa za mjini Arusha, inadaiwa hivi karibuni RC Mullongo alidaiwa kufumaniwa akiwa na mke wa Balozi. Mpaka sasa taarifa hizo hazijathibitishwa kama ni mke wa balozi wa Nyumba 10 au Balozi Mwakilishi wa nchi.
Hata hivyo inaelezwa Mwandishi wa Arusha alipozipata nyeti hizo na kuzifuatilia kwa kumpigia simu muhusika ili aseme kama ni kweli au Lah! alijikuta akiishia mikono mwa RPC ambapo aliwekwa ndani kisha kuhojiwa ili aseme nani kampa hizo taarifa za mteule wa JK kudaiwa kula mzigo wa Balozi.
Mwandishi huyo alishikiliwa kwa zaidi ya Saa 10 na kuachiwa kwa dhamana ambapo ndugu zake wanadaiwa ndio walimuwekea dhamana.
Nawasilisha.
 
Fuatilia ili utupe taarifa kamili na kama ni kweli weka hizo picha ili tuyaone masaburi ya Rc wetu.
 
Mmeanza tena. Simbachawene kawashinda sasa mmehamia kwa RC Arusha
 
Nadhani ingekuwa kweli ishu hii ingesimamiwa kucha na wana Arusha.
Hoteli yenyewe hiyo ni ya mwana-apollo, angehakikisha anatengeneza scene ya uhakika!
 
ingependeza kama ungeleta taarifa kamilli na ushahidi uliojitosheleza zaidi itakuwa ni udaku tu, huyo mwandishi ni mwandishi wa nini?
 
hivi kweli unamkamata mwandishi kisa kauliza kitu kinachomgusa mkuu wenu wa mkoa?? huu utemi sijui utaisha lini..si angekubali au kukataa then akate simu..it was so simple
 
Kwa jinsi alivyo magesa mulongo mi naunga mkono hoja mia kwa mia
 
huyo mpuuzi ni fuska wa kimyakimya tokea yuko bagamoyo,.namjua kwa kiasi fulani personally na kikazi
 
Jamani haya nayo ya kupoteza muda humu kuyajadili? Hamjayazoea tu?
 
Mmeanza tena. Simbachawene kawashinda sasa mmehamia kwa RC Arusha

wamekuja na waziri nagu kafumaniwa sahz wanakuja na mulugo. Chadema hz siasa haziwezi saidi kushinda uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…