Wadau, Naomba kuwasilisha taarifa za mjini Arusha, inadaiwa hivi karibuni RC Mullongo alidaiwa kufumaniwa akiwa na mke wa Balozi. Mpaka sasa taarifa hizo hazijathibitishwa kama ni mke wa balozi wa Nyumba 10 au Balozi Mwakilishi wa nchi.
Hata hivyo inaelezwa Mwandishi wa Arusha alipozipata nyeti hizo na kuzifuatilia kwa kumpigia simu muhusika ili aseme kama ni kweli au Lah! alijikuta akiishia mikono mwa RPC ambapo aliwekwa ndani kisha kuhojiwa ili aseme nani kampa hizo taarifa za mteule wa JK kudaiwa kula mzigo wa Balozi.
Mwandishi huyo alishikiliwa kwa zaidi ya Saa 10 na kuachiwa kwa dhamana ambapo ndugu zake wanadaiwa ndio walimuwekea dhamana.
Nawasilisha.