The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
haikuwa shughuli ya kiserikali ilikuwa birthday yake kwaoHivi hawa wasanii wetu huwa hawana washauri wa mavazi?
Ni sahihi kwwnda kwenye shughuli kama hii ukiwa katika mwonekano huo alionao eti kisa msanii?
[emoji2398]