RC Chacha: Tukisikia mchezaji wa TRA United ameuza mechi ataondoka

RC Chacha: Tukisikia mchezaji wa TRA United ameuza mechi ataondoka

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
RC Chacha kama jinamizi la kufungwa na Yanga bado linaendelea. Maana alidai kuna wachezaji walipewa pesa na baadhi ya viongozi wa Yanga ili waachie mechi
==================
Mashabiki wa soka mkoani Tabora wametolewa hofu kuhusu hatma ya timu yao pendwa, Tabora United, kufuatia mabadiliko ya umiliki na jina jipya la TRA United Sports Club.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Bw. Paulo Chacha, akizungumza na waandishi wa habari leo, amesema licha ya timu hiyo sasa kumilikiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kubadilishwa jina, bado itaendelea kubaki Tabora na kuendeleza historia yake.

Ameongeza kuwa mashabiki wanapaswa kuendelea kuiunga mkono timu hiyo kama walivyofanya awali, akisisitiza mshikamano na uzalendo wa michezo ni silaha ya ushindi huku akitoa onyo wa atakeuza mechi kushughulikiwa kikamilifu.

 
Natamani TAKUKURU nao wawe na timu ya mpira wa miguu.
 
Back
Top Bottom