RC Chalamila aanze kazi sasa, hali ya Jiji ni tete

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo.

IMG_7409.jpeg

Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing.

Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi.

Yaani jiwe aliharibu Nchi.
 
Kama ni maneno yanatosha Anza kazi mzee wa mdomo.

Tegeta mafuriko, mbagala Kijiji, bunju pantaroad wamekaa wakila timing.

Kigambonibchamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, mitaa, mashina hayana viongozi.

Yaani jiwe aliharibu nchi
RC mmempata.

Yani mtamuona Paul Makonda afadhali.
 
Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo.

Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing.

Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi.

Yaani jiwe aliharibu Nchi.
MC Chalamila
 
Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo.

Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing.

Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi.
Yaani siku mbili Tatu alizoletwa hapo Dar Taya matatizo hayo yamejitokeza? Au unataka kusema nini hasa!?
 
huyu chalamila ni pombe na wanawake ndio kitu anajua maneno mengi kuliko vitendo chawa wa mama
 
Back
Top Bottom