RC Chalamila aanze kazi sasa, hali ya Jiji ni tete

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo.

Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing.

Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi.

Yaani jiwe aliharibu Nchi.
 
RC mmempata.

Yani mtamuona Paul Makonda afadhali.
 
MC Chalamila
 
Kama ni maneno yanatosha. Anza kazi mzee wa mdomo.

Tegeta mafuriko, Mbagala Kijiji, Bunju Panyaroad wamekaa wakila timing.

Kigamboni changamoto kibao. Ubungo imelala. Tabata haieweleki life as usual, Mitaa, Mashina hayana viongozi.
Yaani siku mbili Tatu alizoletwa hapo Dar Taya matatizo hayo yamejitokeza? Au unataka kusema nini hasa!?
 
huyu chalamila ni pombe na wanawake ndio kitu anajua maneno mengi kuliko vitendo chawa wa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…