Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same to me aisee🤣Mimi nampenda Chalamila
Napenda watu wanaofurahi muda wote
Halafu nisikie Mtu anasema kuwa huyu havuti Mpepe / Bangi.
Jamaa anajilia bata zake kila akipata muda😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣 jamani nimecheka…daah
Huyu jamaa bhana aisee🙌
Hakuna matataJamaa anajilia bata zake kila akipata muda😅😅😅
Na anazitwanga...nimeshawah kaa meza moja yeye..afu pembeni kasesela aloo hawa jamaa wanajua mambo mengi...watu wa maana kabisaa😁Kwa wasiomjua meshimiwa watadhani singeli limekolea ila tuliosoma kyuba tunajua nyagi imishafanya yake.