RC Chalamila akicheza singeli

RC Chalamila akicheza singeli

a.k.a CHALA, anacheza muziki wa uswahilini jijini Dar. Singeli ni muziki unaoakisi maisha ya uswahilini
 
🤣🤣🤣🤣🤣 jamani nimecheka…daah

Huyu jamaa bhana aisee🙌
 
Ili uwe kiongozi katika hili jiji ni muhimu 'Kujitoa' ufahamu kidogo ili uendane na uhalisia wa wakazi wenyewe.
 
Mimi nampenda Chalamila
Napenda watu wanaofurahi muda wote
 
😁Kwa wasiomjua meshimiwa watadhani singeli limekolea ila tuliosoma kyuba tunajua nyagi imishafanya yake.
 
😁Kwa wasiomjua meshimiwa watadhani singeli limekolea ila tuliosoma kyuba tunajua nyagi imishafanya yake.
Na anazitwanga...nimeshawah kaa meza moja yeye..afu pembeni kasesela aloo hawa jamaa wanajua mambo mengi...watu wa maana kabisaa
 
Back
Top Bottom