ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Na wewe mwambie bwanako akutulizeWewe towashi usitusumbue! kaa kwa bwanako salama!
Kwani inagharimu kitu gani kuwa muungwana kiasi hiki?Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewatakia kila la heri wafuasi wa CHADEMA waliokutana maeneo ya Mbezi Mwisho stendi ya Magufuli kwa ajili ya kuanza maandamano ya amani na kuwataka kuulinda uwekezaji uliopo ndani ya Jiji hilo wasiuharibu na badala yake wafikishe ujumbe walioukusudia siku ya leo.
"Mnatakiwa kufikisha ujumbe pale mlipokusudia, serikali tuko na nyie na tunawatakia kila la heri, ninyi na mimi ni wana Dar es Salaam penye mzunguko mkubwa wa pesa, penye hospitali kubwa na uwekezaji mkubwa, maandamano yetu yanapaswa kulinda uwekezaji wote huo, Rais Samia na viongozi wote wamesema wacha watu waandamane," amesema Chalamila
View attachment 2881134
Upo arabuni eti eh!Na wewe mwambie bwanako akutulize
SimiyuUpo arabuni eti eh!
Simiyu wanaishi matowashi kweli?Simiyu
NdioSimiyu wanaishi matowashi kweli?
Wananchi wazalendoChawa si ndio nyie hapa πView attachment 2881261View attachment 2881262
Ila nyie fisi mnaosombwa na malori kama mchanga kwenda kwenye mikutano ya Makonda ndio mna kazi za kufanya?Hawana kazi za kufanya hao nyumbu wa Chadema.
Makonda anasema Samia ni mama vinginevyo ingekuwa awamu ya chuma angewafyeka wote [emoji23][emoji23]
Kwa mnasifia kiongozi dikteta kuua wananchi wake In cold blood? CCM ni hatari kwa mstakabali wa Amani ya taifa hili π€Hawana kazi za kufanya hao nyumbu wa Chadema.
Makonda anasema Samia ni mama vinginevyo ingekuwa awamu ya chuma angewafyeka wote ππ