Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumieni akiliMshana, kwani sela ya afya iko vipi kwa mama mjamzito Tanzania. Tusiweke mambo ya huruma kwenye sela. Kama umeshawahi kwenda hospital na mama mjamzito,utakubaliana na alichosema chalamila. Tatizo letu sisi ni ,mtu akitusanua kwa kusema ukweli, tunachonga ili bi mkubwa amtimue. Rejea kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu. Haya nini kilitokea serikali za mitaa. Hawa watu tunatakiwa kuwapongeza kwa kusema ukweli