RC Chalamila asema atamchukulia hatua za kisheria FR. Kitima Kwa kuhusisha Tanesco na utekaji

RC Chalamila asema atamchukulia hatua za kisheria FR. Kitima Kwa kuhusisha Tanesco na utekaji

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mkuu wa mkoa Dar es salaam ameagiza polisi na wanasheria kumhoji Kwa kina na kisha kumfikisha mbela ya sheria Fr Kitima Kwa kuhusisha Tanesco na utekaji

Tukumbuke Fr Kitima alisema kuwa kuwa Tanesco walizima umeme maksudi ili avamie na kujeruhiwa

Hii imetushangaza RC Chalamila kumchukulia hatua haraka Fr Kitima na kuwaacha mashehe waliosema watakata wakatoliki vichwa.
Na mashehe wengine walisema wataharibu Mali za kanisa katoliki zikiwemo shule na hospitals, ila serikali haikuwahoji hata Kwa dikika 1

Serikali hata hamueleweki mnataka Nini?
Maridhiano au vurugu.
Screenshot_20251205-210535.png
 
Back
Top Bottom