RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.

Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.

Pia soma: - Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini

Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.

==================================================

Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi

Pia soma: Pre GE2025 - Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


 
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnaleta siasa..embu shauri ungekuwa wewe ungefanyaje..mgonjwa katibiwa bahati mbaya kafariki, je angekuwa amepona ndugu wasingelipa?? Je akifa inamaanisha hakutumia dawa ??? Au Rais aliwaambia serikali italipa??..
Nadhan RC amewaambia ukweli mchungu ambao inatakiwa tuuzoee..
 
Back
Top Bottom