ukawa dona
JF-Expert Member
- Feb 8, 2023
- 516
- 887
Kuvimbiwa pilau na uduvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali;Je,matibabu hutolewa bure?Na kama viffa-tiba na dawa za makundi kama ya wazee,wajawazito na watoto zitakuwa zimeisha kituo/hospitali husika,mlengwa/walengwa wafanyeje?Kiongozi kuongea lugha za kuudhi ahamie Chadema ndio ataenjoy
Hapa CCM tutamjadili tu 🐼
Ameamua kuhalalisha rushwaMamlaka za uteuzi huwa mna double standards. Nn hiki?
Hapana, Mh Chalamila kaongea ukweli mtupu ambao watu hawataki kuusikia.Hiyu ni kiongoz huwa anaangalia kauli zake ? Mamlaka za uteuzi huwa mna double standards. Nn hiki?
Zile hadithi za bima ya afya kwa wote zimeishia wapi?
Wewe umewahi kwenda kujifungua ukaambiwa gloves na viwembe hakuna? Au ni mambo ya Rushwa tuSwali;Je,matibabu hutolewa bure?Na kama viffa-tiba na dawa za makundi kama ya wazee,wajawazito na watoto zitakuwa zimeisha kituo/hospitali husika,mlengwa/walengwa wafanyeje?
Na hilo jambo la kuhifadhi vifaa vya kujifungulia pamoja na fedha za akiba wajawazito na ndugu zao husisitizwa sana kabla hawajafikia hatua ya kujifungua.Hapo ni kipi kilikuwa kigeni?Kujilalamisha tu hao watu kidumavu kwenye akili.CHALAMILA AMEONA HAKUNA HAJA YA KUENDELEA KUDANGANYA RAIA.
AMEMUA ANYOOKE KAMA RULA😁😁😁UKIAMUA KUBEBEA MIMBA UWE UMEJIPANGA.MAMBO YA KUZAA ZAA HOVYO WAKATI HUWEZI KUITUNZA MIMBA WALA MTOTO NI UMASIKINI WA FIKRA NA AKILI.
NCHI TAYARI INA WATU MILLIONI 60 UNAKUTA MTU BADO ANAZAA HOVYO WAKATI YEYE MWENYEWE KUJIHUDUMIA HAJIWEZI.
📌📌TZ HATUNA UPUNGUFU WA WATU.WATU WAJIFUNZE KUZAA KWQ MPANGO.
Na hakunaga dawa za Makundi maalum. Huo msamaha ni mzigo mzito kwenye vituo vya kutolea huduma, maana hakuna anaekuja kufidia hizo gharama.Swali;Je,matibabu hutolewa bure?Na kama viffa-tiba na dawa za makundi kama ya wazee,wajawazito na watoto zitakuwa zimeisha kituo/hospitali husika,mlengwa/walengwa wafanyeje?
Halafu utasikia Tundu lissu anaropoka wakati huko ccm ndio kwenye hayo mazezeta.Huyu akishavuta bangi zake anakuwa na ulimwengu wake mwenyewe
Huyu hayupo sawa kichwaniMwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
View attachment 3214512
TAHADHARI YA KIUANDISHI WAKO.Wewe umewahi kwenda kujifungua ukaambiwa gloves na viwembe hakuna? Au ni mambo ya Rushwa tu
Unaelewa chochote kuhusu Buffer stock? 😂
Kwa maneno ya kisiasa huwa zipo ila kiuhalisia HAKUNAGA.Na hakunaga dawa za Makundi maalum. Huo msamaha ni mzigo mzito kwenye vituo vya kutolea huduma, maana hakuna anaekuja kufidia hizo gharama.
Changamoto kubwa tunaamini zaidi wanasiasa kuliko professionals
Usiishi kizamaniTAHADHARI YA KIUANDISHI WAKO.
-Mimi najifungua kwa kutumia masikio au makwapa?Uwe unaandika kwa busara.
Hospitali nyingi hazina dawa.Huo ndiyo ukweli.Kama kuna mengineyo yanayowahusu watoa huduma hiyo ni kazi ya serikali kufanyia kazi ili kuondoa ukakasi.
Kaamua kutumia lugha fananishi. Ila pointi yake ni kuwa ni muhimu wateja wafahamu kuna KUCHANGIA huduma na sio porojo porojo.Wewe umewahi kwenda kujifungua ukaambiwa gloves na viwembe hakuna? Au ni mambo ya Rushwa tu
Unaelewa chochote kuhusu Buffer stock? 😂
Well Said..! Watu wanapenda sana 'Mteremko' hususani kwenye suala zima la huduma za Afya na Elimu.Kwa maneno ya kisiasa huwa zipo ila kiuhalisia HAKUNAGA.
Ok.Uje hapa Itunundu(nitakaporudi kutoka Nyamuswa)halafu tukae sebuleni na familia yangu uniulize nimejifungua mtoto gani!Usiishi kizamani
Siku hizi kujifungua wanakwenda Mume na mke Ili kuweka ushuhuda Sawa labda kama Wewe mwenyewe utakataa kushuhudia Kujifungua Kwa Couple yenu 😄😄
Pale Aga Khan ni kawaida sana sasa huko Pawaga unakoishi lazima liwe jambo kama Matusi hivi 😂😂😂😂😂