RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani

Ndiyo hapo shangaa mwenyewe

Watu lazima wafundishwe kuwa accountable and responsible for their actions siyo kutegemea serikali hata kwa mambo yanayokuhusu mwenyewe moja kwa moja

Miezi 9 yote umeshindwa kutunza hata elfu 50 tu?
Kazi yake ilikuwa kujiachia tu na kula
 
Duh

Nilitaka kumpigia Waziri mkuu Lakini ngoja nimpigie Mkuu wa nchi direct

Huyu aondolewe tu Hakunaga Cha Navalonge swela wala nini 🐼
Ndugu yangu watanzania tupo nyuma sana. Yaani mtu anabeba mimba anakosaje 50000 ? Mwanamke anazaa na mwanaume kwa sababu anajua kumbatona vizuri are we serious ? Hatuna uchumi wa kubeba mimba kizembe au kuzaa hovyo. Maisha ni hesabu kali sana.
 
Ndugu yangu watanzania tupo nortoyuma sana. Yaani mtu anabeba mimba anakosaje 50000 ? Mwanamke anazaa na mwanaume kwa sababu anajua kumbatona vizuri are we serious ? Hatuna uchumi wa kubeba mimba kizembe au kuzaa hovyo. Maisha ni hesabu kali sana.
Sisi ndio wenye Ilani
 
Maana hawa wapinzani ndo wanakwamisha maendeleo. Kwa wanawake wa CCM wao wanajifungua bila shida kabisa na bila hayo makolokolo yaliyotajwa yanahitajika.

Hii nchi imecheleweshwa sana na akila Lissu na wenzie. Sasa naona wanaanza kuona cha moto. Na nakupongeza Chalamila endelea kuwagonga za uso hawa wapinzani. Wao huwa wanapinga pinga tu. Wakati kunakosekana gloves nk sababu ya migomo na maandamano yao. Rais ananunua magoli ya Simba na Yanga....🤣

Hii inawatia moyo sana wakina mama wazae sana ili wapate watoto watakaokuja kuwa wachezaji na mashabiki. Yaani nchi hii ina mambo mengi tatizo muda tu. Huko mbinguni wanaendelea kufuatilia tamthiliya kutoka channel 225. Shetani akiwa ndo Director Mkuu

KICHAA KAPEWA PANGA, PASUA ROHO ZAO.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.

Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.

Pia soma: - Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini

Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.

==================================================

Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi

Anayoyasema Chalamila si ya bahati mbaya kwani yana baraka za CCM na mwenyekiti wao.
 
Maana hawa wapinzani ndo wanakwamisha maendeleo. Kwa wanawake wa CCM wao wanajifungua bila shida kabisa na bila hayo makolokolo yaliyotajwa yanahitajika.

Hii nchi imecheleweshwa sana na akila Lissu na wenzie. Sasa naona wanaanza kuona cha moto. Na nakupongeza Chalamila endelea kuwagonga za uso hawa wapinzani. Wao huwa wanapinga pinga tu. Wakati kunakosekana gloves nk sababu ya migomo na maandamano yao. Rais ananunua magoli ya Simba na Yanga....🤣

Hii inawatia moyo sana wakina mama wazae sana ili wapate watoto watakaokuja kuwa wachezaji na mashabiki. Yaani nchi hii ina mambo mengi tatizo muda tu. Huko mbinguni wanaendelea kufuatilia tamthiliya kutoka channel 225. Shetani akiwa ndo Director Mkuu

KICHAA KAPEWA PANGA, PASUA ROHO ZAO.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Natamani tutengeneze tamthilia ya ujasiriamali ili watu wapate elimu ya ujasiriamali mwenyewe utayari aseme mimi naweza kitengeneza muongozo

I have already the entrepreneurship training program hapa nataka nifanye market research ya biashara aina 2 halafu nitengeneze business plan templates
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.

Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es Salaam, Chalamila aliwaambia kuna vifaa vya hospitali inapowalazimu wanunue kwani sio wakati wote hospitali zitakuwa na vifaa kamili.

Pia soma: - Kauli tata za RC Chalamila kwenye matamko mbalimbali nchini

Chalamila alimuelezea mama mmoja mjamzito aliyempigia simu akilalamika kuambiwa na Daktari atoe shilingi elfu 50,000/= ili inunulie vifaa vya kumsaidia kujifungua ikiwemo gloves ambapo Chalamila alimwambia asitoe fedha aende nyumbani akajifungue.

==================================================

Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi

Mbona mdomo umechunika au kwenye mapombe alipigwa ngumi
 
Attachments

  • 5944713-b89c1fdcc2efe1ae48b87e89bc5db104.mp4
    5 MB
Mwenye direct connection amfikishie mama SSH ujumbe huu, atuondolee huyu MTU hapa dsm, ampeleke Rauha akalinde wanyama, hafai kuwa kiongozi
Kanya kajaza na hio ndio kauli ya niliemwekea bold hata yeye angemwambia hivyo hivyo huyo mama mjamzito kwa hio msidhani yeye ni tofauti na Chalamila kauli yao wote ni moja ndio maana Chalamila kaongea kwa kujiamini maana yake nyinyi masikini hamna uwezo wa kujigharamikia nendeni mkafie mbele huko msituletee habari zenu hapa serikali serikali mmesikia serikali inatoa bure leta hela tukuhudumie serekali haitoi bure na pesa za misaada kutoka Marekani inakula

Trump kashitukia mchezo
 
Ndugu yangu watanzania tupo nyuma sana. Yaani mtu anabeba mimba anakosaje 50000 ? Mwanamke anazaa na mwanaume kwa sababu anajua kumbatona vizuri are we serious ? Hatuna uchumi wa kubeba mimba kizembe au kuzaa hovyo. Maisha ni hesabu kali sana.
It makes me so sad and mad kusoma comment kama hii yako.

You are one of the so many clueless mofos who are dragging us back.
 
Najua ni vigumu kunielewa. Kitu cha kwanza na muhimu ni elimu au ujuzi wa kujitambua. Hatupo Ujerumani ambapo ukizaa unalipwa kila mwezi hela ya mtoto mpaka alifikisha miaka 19. Mimi nimeishi na wazungu, kuna dada mmoja wa kizungu alipoanza kusikia nyege na kuongea na wanaume muda mrefu kwenye simu. Baba yake alimtafutia kazi ya production kiwandani. Ilimsaidia kujitambua, nyimbo zote unaposikia redioni Tanzania zinahusu mapenzi. Vipindi vya redio vinaongelea mahaba. Baa zinazojaza, wahudumu wanavaa nguo fupi. Halafu mwanamke unabeba mimba halafu unakosa hela ya kununua gloves are you serious ? Kuna wanawake wanaenda gesti kumbotwa na V8 halafu kliniki anaenda na daladala au bajaji ? Wanawake inabidi wajitunze, nimerudia huko juu na kusema. Zaidi ya asilimia 80 ya wanawake wanazaa n mtu kwa sababu yupo vizuri kitandani na si kwa sababu ana uwezo wa kuwa baba. Sio kila mtu ana uwezo wa kuwa kiongozi. Hivyo basi sio kila mtu ana uwezo wa kuwa baba. Unakuta binti umezaliwa mazingira ya shida unabeba mimba ya mtu kisa anakukojoza. Huko kukukojoza ndiyo kutawalisha wewe na mtoto wako. Inabidi tuambizane ukweli aisee. Kuna zama zimeshapita hazipo na hazitarudi. Zama za kila mtu kuwa na familia zimeshaisha. Sasa hivi kubwa na familia inabidi upige hesabu kali. Hii ni kwa wote wanawake na wanaume.
 
Ndugu yangu watanzania tupo nyuma sana. Yaani mtu anabeba mimba anakosaje 50000 ? Mwanamke anazaa na mwanaume kwa sababu anajua kumbatona vizuri are we serious ? Hatuna uchumi wa kubeba mimba kizembe au kuzaa hovyo. Maisha ni hesabu kali sana.
Wewe TZS 50,000.00 unaona ndogo na inapatikana kiurahisi?
 
Ukiamua kuzaa na kubeba mimba unaonaje 50000 kubwa. Hadi unazaa unatakiwa uwe na uwezo wa kumlisha na kumhudumia mtoto. Hatuna uchumi wa kuzaa bila mpango. Nimesema huko juu Ujerumani ukizaa serikali inakulipa. Huku ukizaa alkila kitu ni juu yako. Tuwe na mipango condom zipo. Usimbato kavu kama hauna uwezo ni kujielewa tu upo level gani. Kitendo cha kuzaa kisa unaweza kumbatona ni kuidharau na kujilinganisha na ng'ombe.
 
Back
Top Bottom