Pre GE2025 RC Chalamila ataka Tume Huru ya Uchaguzi iwe chini ya Rais

Pre GE2025 RC Chalamila ataka Tume Huru ya Uchaguzi iwe chini ya Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahiyo RC Chalamira ananiambia Dunia kwamba Tanzania hususani Dar-es-salaam kuna mashoga HURU!?
 
Kwa maneno mengine Tume huru ya uchaguzi nchini iwe chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye pia ni mgombea wa Urais.

Kiini macho - haya mambo unayapata Africa.
 
Back
Top Bottom