Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
na kweli, watamuua, watampoteza, watamvunja vunja miguu"Tumejipanga na ndugu zangu kwamba hakuna sauti yoyote itakayotikisa amani ya taifa hili na hasa hapa Dar es Salaam, tumejipanga kwa mtu yoyote yule ambaye anaweza kufanya majaribio, sisi hatutamjaribu bali tutafanya kweli"
Albert Chalamila - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
HUYU LIKITOKEA LA KUTOKEA ATAKUWA WAPILI AU WA TATU"Tumejipanga na ndugu zangu kwamba hakuna sauti yoyote itakayotikisa amani ya taifa hili na hasa hapa Dar es Salaam, tumejipanga kwa mtu yoyote yule ambaye anaweza kufanya majaribio, sisi hatutamjaribu bali tutafanya kweli"
Albert Chalamila - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 3427001
Halafu kwa UHAKIKA atastaafu kazi na kurudi kujiunga na kuishi kwenye maeneo ya hao-hao wananchi au raia ambao baadhi yao watakuwa wamejeruhiwa au kuuawa kwa hiyo nguvu - amri yake.Hiyo nguvu angeihamishia kwenye kuwasaidia wananchi wa kimara wanaoteseka na mwendokasi, au huduma za afya, maji, miundombinu ambavyo vimekuwa vya kusuasua angekuwa wa maana sana kuliko kudeal na mambo yasiyo na impact kwa wananchi
Unapompa mshamba madaraka huwa anaona kila mtu ni sawa na house boy wake"Tumejipanga na ndugu zangu kwamba hakuna sauti yoyote itakayotikisa amani ya taifa hili na hasa hapa Dar es Salaam, tumejipanga kwa mtu yoyote yule ambaye anaweza kufanya majaribio, sisi hatutamjaribu bali tutafanya kweli"
Albert Chalamila - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 3427001
Huyu ni mjukuu wa Mwalim Bernard Chalamila?"Tumejipanga na ndugu zangu kwamba hakuna sauti yoyote itakayotikisa amani ya taifa hili na hasa hapa Dar es Salaam, tumejipanga kwa mtu yoyote yule ambaye anaweza kufanya majaribio, sisi hatutamjaribu bali tutafanya kweli"
Albert Chalamila - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 3427001
Ajiulize mbabe magufuli yuko wapi na ubabe wake"Tumejipanga na ndugu zangu kwamba hakuna sauti yoyote itakayotikisa amani ya taifa hili na hasa hapa Dar es Salaam, tumejipanga kwa mtu yoyote yule ambaye anaweza kufanya majaribio, sisi hatutamjaribu bali tutafanya kweli"
Albert Chalamila - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 3427001