"Tumejipanga na ndugu zangu kwamba hakuna sauti yoyote itakayotikisa amani ya taifa hili na hasa hapa Dar es Salaam, tumejipanga kwa mtu yoyote yule ambaye anaweza kufanya majaribio, sisi hatutamjaribu bali tutafanya kweli"
Albert Chalamila - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
View attachment 3427001
Chalamila ni mwalimu aliyefeli somo la Psychology, maana kauli zake zote huwa ni kama debe tupu. Anatufutwa apendwe na mamlaka za uteuzi but in reality he is a poor leader, na sidhani baada ya Bibi huyu kuondoka kama ataendelea kubebwa. Atafute kazi yake ya ualimu kabla ya bibi kustaafu maana hatateuliwa tena , take it from me, Uongozi ujao ni different siyo wa hao easy takers.na kweli, watamuua, watampoteza, watamvunja vunja miguu
View attachment 3427004
Huyu ni debe la kutika...empty setChalamila ni mwalimu aliyefeli somo la Psychology, maana kauli zake zote huwa ni kama debe tupu. Anatufutwa apendwe na mamlaka za uteuzi but in reality he is a poor leader, na sidhani baada ya Bibi huyu kuondoka kama ataendelea kubebwa. Atafute kazi yake ya ualimu kabla ya bibi kustaafu maana hatateuliwa tena , take it from me, Uongozi ujao ni different siyo wa hao easy takers.