GE2025 RC Chalamila: Atakayetujaribu, tutafanya kweli. Hakuna atakayetikisa Amani ya Taifa hili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mikwara ya kitoto sana hii πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Watanganyika ni wastaarabu sana na Mikwara hiyo ni dalili ya uoga
 

..wafanye kweli kwenye kuleta mabadiliko yatakayowezesha uchaguzi huru na wa haki.

..pia wajipange na wafanye kweli dhidi ya genge la watekaji.
 
na kweli, watamuua, watampoteza, watamvunja vunja miguu
View attachment 3427004
Chalamila ni mwalimu aliyefeli somo la Psychology, maana kauli zake zote huwa ni kama debe tupu. Anatufutwa apendwe na mamlaka za uteuzi but in reality he is a poor leader, na sidhani baada ya Bibi huyu kuondoka kama ataendelea kubebwa. Atafute kazi yake ya ualimu kabla ya bibi kustaafu maana hatateuliwa tena , take it from me, Uongozi ujao ni different siyo wa hao easy takers.
 
Huyu ni debe la kutika...empty set
 
Kwani nani anatishia usalama wa nchi?.
Mbona mimi ninachoona ni dola yenyewe ndio inafanya vitendo vya kuhatarisha amani?

Haki ndio huleta amani, mabavu haya huleta amani na faraja ya muda mfupi sana, watu wanahitaji maisha Bora, huduma Bora za afya kila mahala, miundo mbinu Bora, mgawanyo ulio sawa wa keki ya Taifa, Elimu Bora, HAKI, demokrasia nk, usipowapa watu hivyo vitu jua kutakuwa na amani kwa muda mfupi sana, Amani hailindwi na mitutu ya bunduki na vitisho kwa watu.

ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
 
Hii mbung'o yenye kichwa kama kitunguu maji ikishavuta bangi inajionaga nyati sana.
 
Mambo ya msingi usafiri na foleni zinemshinda anaenda kwenye upambe inasikitisha basi ngoja tumsubiri slow slow kwenye next episode amesema wataanza kutoa milio
 
Huyu alitakiwa kuwa mfagizi wa ofisi tu maana akili za kizezeta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…