johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akadodi ndauli!Haya mnyalukolo
Haya mnyalukolo
Ndio dharau inapoanzia hapo,bado waanze kufokwa hadharaniTulisema Jeshi liachwe lisishiriki siasa, kazi za kiraia na biashara za moja kwa moja na serikali, maana itakuja tokea hivi ionekane jeshi linashindwa vitu vidogo vidogo sana.
Jeshi lishiriki mambo ya dharura tu! Madhara tutayaona mbele!
Kamwene be makasiKamwene Mnyalukolo
Haale zdafigono veyale?Kamwene be makasi
Hadhi ya JW haiathiriwi na kuvunjwa mkataba wa ujenzi. Kama kweli kasi ya ujenzi haiendi inavyopaswa bila sababu basi ni halali tu mkataba kuvunjwa.Hivi huyu RC anatambua hadhi ya JWTZ hata mbele ya aliyemteua? Katika taasisi ambazo huogopeka hata kwa viongozi wakuu wa nchi ni jeshi.
Kwa kuwa Chalamila kalianzisha yeye mwenyewe, basi ni lazima aanzev kujiandaa kisaikolojia kwa lolote lile. Maana Mkuu kwa sasa inaonyesha mambo ya uchaguzi hayamweki ktk "mood" nzuri, kwa hiyo ikitokea "stress" ya zaidi kwake, ni lazima atumbue wasaidizi wake wenye kujipendekeza mno kwake na kufanya teuzi mpya.
Shauri zake, oohoo ajifunze kwa mwenzake Gambo.
Ino nano ye mkwamisi huyo mgaya luhala, sikwogopa imitutu?RC anaongea udesi tupu...Kanali kafunguka ukweli