Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo.
Chalamila amesema matukio hayo ya kikatili hayafanywi na Jeshi la Polisi, yanafanywa na baadhi ya watu wa maeneo hayo ambao wameshinikizwa.
Soma zaidi:
=> RC CHALAMILA: Kuna kukosa uelewa kusema Polisi ndio wanahusika na utekaji
=> Muandamanaji wa Kike adakwa na Polisi Magomeni akifanya maombi