Mnaowategemea kwa msaada baada ya kuharibu kwa akina 'Who are you', nao mmeanza kuwatukana?
After all, Boss wako si bado anawaona Wachina wa leo bado ni Wajamaa kama alivyokuwa Mao Zedong, huku akisahau Wachina wa leo ni mabepari?
Nchi inayowaamini hawa Wachina wa leo huwa naiona ni ya kipumbavu sana.