Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
watu watatu na smg unawazuiaje?Anachosema ni sahihi
Watu wajilinde usikubali kuchukuliwa kwa kushikwa mkono kwa kuambiwa sisi ni askari...
Watu pia waunge mkono wakusanyike wengi na kupiga kelele...
Watu watatu wachukue mtu mmoja kwenye kikundi cha watu 40 hakuna prukushani yoyote wala aliyechukua video
Asianze kulaksma wananchi wanajichukulia sheria mkononi. Stree justice ni mbaya sanaNjia za wananchi kujilinda si mnazijua lakini? Mtaa una hukumu moja tu.
futuhiHuyu mwamba sijawahi kumuelewa na simuelewagi kwa ujumla
Nyie mngekuwa na mawazo mapya, miaka 60 kwenye uongozi nchi ingekuwa nyuma kiasi hiki?!Una kichwa kigumu wewe cha kuelewa kama tofali za Mbozi. Ndio maana CHADEMA hainaga mawazo mapya miaka nenda rudi.
Naunga mkono hoja ya RC Chalamila, tena nashauri kila kaya, kila familia ijengewe uwezo interms of capacity building, kila familia iweze kujilinda kama RC Chalamila alivyo jilinda kama alivyoeleza hapa This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewataka wananchi wa DSM kujilinda wao na familia zao dhidi ya matukio yoyote yanayoweza kuhatarisha Amani na Usalama wao
kwahiyo ulinzi wa kwanza ni wewe mwenyewe Raia”
Vizuri sana unless your are very weakwatu watatu na smg unawazuiaje?
mawachukua misukule mnasingizia mambo mengineyo, si sawa.Tlaatlaah Kada hujaenda kuteka leo au haupo zamu ?
#Satelites are watching yuh.
mawachukua misukule mnasingizia mambo mengineyo, si sawa.
acheni ramli chonganishi na ushirikina mara moja sawa gentleman na wenzako?🐒
ramli ndio satellites zenu sio?
Ameongea vizuri tofauti na kichwa cha habariMkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewataka wananchi wa DSM kujilinda wao na familia zao dhidi ya matukio yoyote yanayoweza kuhatarisha Amani na Usalama wao
RC Chalamila amesema SI HAKI kuwatupia lawama Polisi kwa kila Jambo.
---
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka Wakazi wa Dar es salaam kutambua umuhimu wa kujilinda na kuzilinda Familia zao dhidi ya matukio yoyote yanayoweza kuhatarisha amani na usalama wao badala ya kuwatupia lawama Polisi kwa kila jambo.
RC Chalamila amesema hayo wakati akifanya ziara ya kukagua Zahanati ya Kurasini Wilayani Temeke leo September 27,2024 “Leo kwenye mkutano nitaongea baadhi ya vitu ambavyo Watu wanalalamikia utekaji sijui nini, leo kwenye mkutano nitawapa data namna Vijana wetu tuliowazaa wanavyoshiriki kwenye baadhi ya matukio, nitawapa tukio la Mama ameuawa na kuchinjwa vipande karibu 30, wa hapahapa Temeke Mbagala na aliyefanya na nitawaeleza alifanyaje”
“Nitawapa matukio ya Watu wameenda kwa Waganga wa kienyeji, Mganga ameona wana hela akawanywesha sumu wakafa akaiba hela akawazika bila taarifa, leo mnapokuta kuna matukio Watu wanasema Polisi ndio wanateka, Vyombo vya Dola vinateka, kuna vitu mnakosa uelewa na kwasababu mnakuja kwa mihemko hamuwezi kujibiwa kistaarabu hata kidogo”
"Halafu kwa mashinikizo mnasema tunataka kuingia barabarani, lazima Serikali iseme, kama tunataka kujenga Taifa letu ni vizuri tujenge mijadala ya kuulizana maswali, kuna vitu vinafanyika kama sanaa kuna vingine kweli Watu wamefanya, ebu niwaulize Baba na Mama wamefunga mlango wamekwenda ndani kulala asubuhi unaambiwa uko ndani Watu wameuana hivi niambieni kwenye mazingira hayo Polisi wanahusikaje?
kwahiyo Polisi awaambie laleni Mimi nipo mlangoni mpaka kunakucha inawezekana jamani?, kwahiyo Mlinzi wa kwanza kwa kila jambo ni Mwananchi mwenyewe”
“Hata Mimi Mkuu wa Mkoa unaweza kukuta hapa nalindwa lakini hawa wanaonilinda nakuwa nao nyumbani?, kama Mimi nitaondoka kwangu na Mkuu wa Wilaya tunakwenda huko Mbagala kunywa pombe tukishakunywa pombe tunachukua Wake za Watu halafu nasema watatufanya nini, watatupiga makofi huko na watanichinja, kwahiyo ulinzi wa kwanza ni wewe mwenyewe Raia”
“Mtu unazaa Mtoto huelewi ameenda wapi kutoka asubuhi hadi jioni, inafika saa mbili ndio unasema mtafuteni Mtoto, hivi kweli Mtoto huyo alikaa kwenye tumbo lako au la jirani?”
Pia soma
- RC Chalamila: Matukio ya Mauaji na Utekaji Watoto yapo lakini siyo kama yanavyoripitiwa, mengi siyo ya kweli
Source: Ayo TV
Unafiki ndio tatzoHuyu naye ana akili kibaba!!
Hivi nani aliwahi kuwashutumu polisi kwa vifo vilivyotokea ndani ya nyumba za watu? Naona Dar tuna RC ambaye ama hazimtoshi kichwani au unafiki umemwondolea akili.
Polisi wanalalamikiwa kwa utekaji kwa sababu ni polisi waliwaita vituoni, halafu watu hao hawakurudi tena. Wengine baada ya kutekwa walipumzishwa ndani ya vituo vya polisi, kisha wakapotezwa. Wengine walichukuliwa mbele ya macho ya watu wengi, mbele ya polisi, watekaji wakajitambulisha kuwa ni polisi , wakiwa na smg na magari yasiyo na namba (ambayo huwa wanapenda kutumia agents wa serikali), halafu huyu punguani anakuja na mifano ya mambo yasiyoendana kabisa na matukio!! Hopless RC!!
Naunga mkono hoja ya RC Chalamila, tena nashauri kila kaya, kila familia ijengewe uwezo interms of capacity building, kila familia iweze kujilinda kama RC Chalamila alivyo jilinda kama alivyoeleza hapa This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
View: https://youtu.be/DU2KYclh1l8?si=75ZpspiMj0XVDSbNP