Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo. Chalamila aliwataka wananchi kujiandaa kwa sherehe hizo za mwisho wa mwaka, huku akiwataka pia kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
"Usije kwenye Bata kama hujapiga kura Novemba 27". Bata la Disemba linatarajiwa kuwa tukio kubwa la burudani.