Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo. Chalamila aliwataka wananchi kujiandaa kwa sherehe hizo za mwisho wa mwaka, huku akiwataka pia kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo. Chalamila aliwataka wananchi kujiandaa kwa sherehe hizo za mwisho wa mwaka, huku akiwataka pia kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
"Usije kwenye Bata kama hujapiga kura Novemba 27". Bata la Disemba linatarajiwa kuwa tukio kubwa la burudani.
Bata katangaza bata litakaloliwa na mabata wenziwe. kazi kwenu mabata, sisi huku kwetu bado tunaomboleza familia zetu zilizopatwa na jeraha la Kkoo.
naamini anatoa bata hilo kwa sababu hamna ndugu yake aliyekutwa na jeraha la kariakoo, angelikuwa na hata nudug mmoja ambaye angeangukiwa na ghorofa, asingelitoa hilo bata kwa kwa mabata wenzake