RC Chalamila - DSM Rasmisheni madanguro kwa kujenga motels na guesthouse siyo vile vibanda

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Mkuu wa mkoa ataka madanguro yawe yenye hadhi na staha badala ya vile vibanda uchochoroni

[
View: https://m.youtube.com/watch?v=-L8fJk4mSTk
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam pia azungumzia suala la demand and supply yaani soko na wateja wa biashara ya ngono ilivyo na jinsi ya kwenda nayo

RC Albert Chalamila azipongeza baadhi ya baa kuweza kudumu kwa miondo kadhaa lakini azitaka kubadilika ...

Mkuu wa mkoa asisitiza katika sekta hiyo lazima viwango vipande siyo kuendesha madanguro ktk vibanda kwa kuwa kule ni udhalilishaji, jiji na mkoa wa Dar es Salaam ndiyo Tanzania yenyewe hivyo viwango ni muhimu asisitiza wakati akizungumza na wenye mabaa, gesti na hata wale wa gesti bubu.
 
Ameanza tena!
 
Naunga mkono hoja, hii biashara irasimishwe ifanywe in a decent manner Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
P
 
safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…