Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Naunga mkono hoja yako mkuu.Kwani bia zinanyweka bure? Huyo mtu kama anatoa pesa kunywa bia maana yake kuna huduma anaitoa ya kumpatia pesa .
Changamoto hapo ni kushinda kanisani na sio bar.
Yani bwashee wee acha tu. Bora hajagusia wavutaji. Angethubutu kufanya hivyo pangechimbika.Kwani bia zinanyweka bure? Huyo mtu kama anatoa pesa kunywa bia maana yake kuna huduma anaitoa ya kumpatia pesa .
Changamoto hapo ni kushinda kanisani na sio bar.
Tangu lini wakatoliki wakakesha kanisani mkuu?Walokole na wakatoliki wapigwe marufuku
Yeye mbona anakesha kwenye siasa muda woe huo uzalishaji anafanya saa ngapi? Hawa wtu wenye vimo vifupi akili zao ni fup pia, simshangai.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amewakata wamiliki na wafanyabiashara wa Baa kufanyabiashara zao kwa mujibu wa sheria na taratibu za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)
Akizungumza kwenye kikao na baadhi ya wamiliki na wafanyabiashara wakubwa wa Baa katika Wilaya ya kinondoni Julai 14, 2026 amesema miongoni wa taratibu hizo ni pamoja na kuhakikisha maeneo ya biashara zao hayana makelele yanayovuka nje ya maeneo yao ya kibiashara.
"Leo tumeitana kama sehemu ya awali ya maonyo niwape wiki moja ya kuhakikisha mabadiliko yanafanyika haiwezekani watu wako wanakuwa kwenye ibada kutoka saa 12 asubuhi mpka kesho asubuhi watazalisha saa ngapi na haiwezekani mtu anakaa anakunywa Bia kutoka saa 12 asubuhi hadi 12 asubuhi lazima achukuliwe apelekwe Muhimbili,"- RC Chalamila
Mwambieni Chalamila kuwa, watu wanaingia na kutoka, sio kwamba wako stationed hapo 24/7 aaache ushamba wake, na ujinga, na upumbavu.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amewakata wamiliki na wafanyabiashara wa Baa kufanyabiashara zao kwa mujibu wa sheria na taratibu za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)
Akizungumza kwenye kikao na baadhi ya wamiliki na wafanyabiashara wakubwa wa Baa katika Wilaya ya kinondoni Julai 14, 2026 amesema miongoni wa taratibu hizo ni pamoja na kuhakikisha maeneo ya biashara zao hayana makelele yanayovuka nje ya maeneo yao ya kibiashara.
"Leo tumeitana kama sehemu ya awali ya maonyo niwape wiki moja ya kuhakikisha mabadiliko yanafanyika haiwezekani watu wako wanakuwa kwenye ibada kutoka saa 12 asubuhi mpka kesho asubuhi watazalisha saa ngapi na haiwezekani mtu anakaa anakunywa Bia kutoka saa 12 asubuhi hadi 12 asubuhi lazima achukuliwe apelekwe Muhimbili,"- RC Chalamila
Chalamila anatakiwa aje hapa kwenye comment Yako kujifunza 😁☺️Yesu alikesha siku 40 lakini impact yake hadi leo dunia nzima.
Unaweza kufanya kazi miezi sita ukapata cha kutumia miaka 2 bila kufanya kazi za ajira.
Kuna watu wameamua kuishi kwa passive income. Uzalishaji unaendelea bila wao kuwepo.
Dunia imebadilika sana
Katoliki wamekufanyaje mkuu ivi unajua katoliki ndo Dunia yenyewe?Walokole na wakatoliki wapigwe marufuku
Umeskia wapi?Katoliki wamekufanyaje mkuu ivi unajua katoliki ndo Dunia yenyewe?