RC Chalamila: Hajatekwa, amejipoteza mwenyewe

RC Chalamila: Hajatekwa, amejipoteza mwenyewe

Baada ya kelele wamepanga kumrejesha, Mkuu Chalamila usijiingize kwenye hii michezo, ili siku ukiondolewa urudi kwenu Tanangozi kwa amani
Vipi machawa wa mbowe mmejiandaa kushambulia lisu Kwa vihoja na sio hoja?
 
Naona huu mchezo wa kutekwa ndiyo unaingia Tanzania. Ulianzia Marekani, mara zote waliotekwa au kutekwa walikuwa na majina ya Kabila moja, Italians. Kwa TZ tunaona wanaotekwa wana majina ya Kabila moja, tangu Soka, Mlay, Mbowe, Massawe, Urassa, wengi wana CHADEMA? Hii ni bahati mbaya, au ni elimu? Wamesoma mbinu za Marekani kwa ujasiriamali?
Nn kifanyikee
 
Si Bahati mbaya, ni mpango Maalum
 
Sasa mtu dalali wa magari serikali ikuteke kwa lipi,wakati wewe siyo mwanaharakati wala hujishugulishi na siasa
Kipindi cha nyuma na huwa napenda sana kusema humu kuna watu wanapita na huu upepo,wa kutekana
Watu wamedhulumiana,watu wanadaiana hata kuna watu wakijuwa fulani ana hela wanakuja kukuteka !
Na ukiona mpaka imefika watu wanatekana basi watu hawana imani na mamlaka za kusimamia haki na sheria

Ova

Matokeo ya sherekale nayo kujiingiza humo
 
Ndio huyu aliyeitwa na TRA mbagala akaangalie kontena lake ama?
 
Polisi wametoa taarifa Mwamba kakutwa kwa mganga huko Kigambni, aisee ana madeni lundo.....
 
Back
Top Bottom