RC Chalamila hajawahi kuwa na adabu hata kidogo, Kinachomwokoa kwa sasa ni kuwa yupo Upande wa Pili

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Samia alimwambia Chalamila akue. Ila badala ya kukua amekuwa chawa wa mama.

Maneno na matendo yake kama isingekuwa kumsilfia sifia mama. Saivi tungekuwa tunaongea mengine.

Kiufupi huyu jamaa ana mdomo mchafu sana by nature ila inategemea anaongelea kuelekezea upande upi.
 
Yaani we Acha tu.yaani Mungu ampe hekima na busara
 
Kafanyeje tena...

Mnalaumu wasiostahili. Tatizo liko Paleee...πŸ”πŸ”πŸ”
 
Dasilamu kila kiumbe anaweza kutawala atakavyo.
 
Chalamilia ni bogus mlevi anaeficha upumbavu wake katika kubwatuka hovyo.

Ukomo wa fikra zake ni hizo pumba anazoongea.
 
huyo jamaa sio kiongozi, ni manyigu ya kurusha mkipoteana ili adui achomoze. anawafaa sana kwa namna hiyo kwasababu yeye kule iringa huwa wanaweka mbegu za bange kwenye mboga, na wanakunywa ulanzi tangu wakiwa na miaka 2.
 
Anajinadi kwamba yeye ni mkorofi wa kupitiliza na kwamba anaweza kuchomoa mashine akafanya vurugu popote na hakuna mtu wa kumfanya chochote. Huo ni ulevi mbaya sana wa madaraka.
 
RC lomo lomo mingi kama chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…