DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
RC Chalamila amefafanua kwa kina sakata la kukamatwa kwa fedha taslimu shilingi bilioni 6 zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa China, akisisitiza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa ili kubaini chanzo na uhalali wa fedha hizo.
Pia Soma:
Pia Soma:
- Polisi wachunguza video ya 'Mchina' aliyekutwa na Bilioni 6
- Wachina wakamatwa maeneo ya Oysterbay wakiwa na takriban Tsh. Bilioni 6 taslim zikiwa zimefichwa ndani ya nyumba