DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jan 7, 2026 #1 RC Chalamila amefafanua kwa kina sakata la kukamatwa kwa fedha taslimu shilingi bilioni 6 zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa China, akisisitiza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa ili kubaini chanzo na uhalali wa fedha hizo. Pia Soma: Polisi wachunguza video ya 'Mchina' aliyekutwa na Bilioni 6 Wachina wakamatwa maeneo ya Oysterbay wakiwa na takriban Tsh. Bilioni 6 taslim zikiwa zimefichwa ndani ya nyumba Your browser is not able to display this video.
RC Chalamila amefafanua kwa kina sakata la kukamatwa kwa fedha taslimu shilingi bilioni 6 zinazodaiwa kumilikiwa na raia wa China, akisisitiza kuwa hatua za kisheria zinaendelea kuchukuliwa ili kubaini chanzo na uhalali wa fedha hizo. Pia Soma: Polisi wachunguza video ya 'Mchina' aliyekutwa na Bilioni 6 Wachina wakamatwa maeneo ya Oysterbay wakiwa na takriban Tsh. Bilioni 6 taslim zikiwa zimefichwa ndani ya nyumba Your browser is not able to display this video.
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,508 Reaction score 23,368 Jan 7, 2026 #2 Kichwa senene ni hasara kwa taifa,si alisema atashughulika na padre kitima,amefikia wapi kwa mihemko yake
Kichwa senene ni hasara kwa taifa,si alisema atashughulika na padre kitima,amefikia wapi kwa mihemko yake
MakinikiA JF-Expert Member Joined Jun 7, 2017 Posts 5,840 Reaction score 8,202 Jan 7, 2026 #3 hatari sana ,