Jamaa huwa anafanya mizaha na maisha ya watuMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
Hili jamaa jinga sana.Ili ukifika wakuunganishe na ndugu yako 😂
Kwamba huyo uliyemkamata hapajui kwake/nyumbani mpaka ndugu afike kituoni.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
Mkuu nawaonea wivu sana Ambao mpo huko majuu. ..Afike polisi ili naye apotee?
Hawa watu wako detached kabisa na reality 😀.
Huyu ajielewiMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu hamuoni ndugu yake, afike polisi na kutoa maelezo ambapo atasaidiwa kumpata ndugu yake.
Mkuu hatari sanaHawa jamaa kwa kweli mimi siwaelewi kabisa. Yaani ukiwa CCM basi unafirkiri una akili kuliko Watanzania wengine. Kama police ina huo uwezo mbona mpaka leo wameshindwa kuwapata akina Mdude and Soka. Mpaka mahakama zimekataa jeshi la police kutoa ushirikiano. What makes a difference now .....!!