Tetesi: RC Chalamila kuhamishwa Dar

Kampiga malaya risasi kahepa ikala kwa mlinzi, madadapoa wa dar sio maboya
 
Ameweza nini? Madangulo vp yameisha yote? Stand za vichocholoni zimekoma?
Hapo Jijini Dar es Salaam saizi Ukienda Kunywa Mahala. panaheshima. Yaani ilikuwa imefikia hatua Mbaya Yaani Mwanaume unapita Sehemu Unagombaniwa kama Mitumba ya Bure. Yaani unalazimishwa uone Vitu vya ajabu ajabu, Binadamu Wanaishi kama Wanyama. Nenda Vibe lounge, Kitambaa cheupe, Warehouse masaki, Wavuvi camp na maeneo mengi. Kuna Maduka yapo Buku 2-7 yaani watu Wanapanga gesti Riverside kuuza buku 2-7 na huku akiwa amejaza Makondommmm.
Huu Mwezi wa Heri ila hawa Viumbe wamefika mahala pabaya sana. Wanatukera.
NB: Charles Charamila -Kiongozi, Mzee, Mheshimiwa sana, Kaka Kaza hapohapo.
 
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/watch/?v=651435409651441
 
Uwage na akili hata kiduchu
 
Unataka Chalamila awafanyie kampeni hao kina Kitila wakubalike majimboni mwao?

Hao hawakubaliki nao wanajua, ni suala muda tu wataondoka 2025 labda wabebwe na Samia tena kama Magufuli alivyowabeba.

Kutokubalika kwao sio kosa la Chalamila.
Yeah
 
Chalamila lile Jani lile haliwezi awaachie wachomaji.
 
Mkoa mmoja viongozi lukuki...

RC, MaDC, Wabunge, Madiwani, sijui wakurugenzi wa manispaa n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…