Tetesi: RC Chalamila kuhamishwa Dar

Kimsingi RC hana budget ya kuendeleza mkoa wake. Hela za ruzuku ya serikali kuu na mapato ya ndani ziko halmashauri chini ya madiwani.
Fedha zote zinazopelekwa halmashauri hata za makusanyo ya ndani ni za serikali.
Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali katika mkoa ni RC
 
Fedha zote zinazopelekwa halmashauri hata za makusanyo ya ndani ni za serikali.
Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali katika mkoa ni RC
Hazihitaji sahihi ya RC kutoka, kwa kifupi hana control ya fedha zozote. RC na DC ukiwalaumu kwenye maendeleo unawaonea tu, hawana kazi zaidi ya ulinzi na usalama.
 
Vikwazo vya biasha vinatokana na jamii kunyamaza kukubali chochote, (kupokea) bila kuhoji mimi ni muelimishaji ujasirimali .biashara zinakufa kutokana na jamii mfu ambayo haiwezi kuhoji na ukihoji utakiona cha mtema..........., na hayo ndiyo madhara ya uoga
 
Mi huwa kuna vitu sielewi, hapo kwenye elimu watoto wananda mitaani na uniform ulitaka Chalamila apeleke kila mtoto kwao anapotoka shule?
 
Fedha zote zinazopelekwa halmashauri hata za makusanyo ya ndani ni za serikali.
Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali katika mkoa ni RC
Naelewa lakini hakuna sehemu anaidhinisha au kuamua zitumikeje. Anaweza kufuatilia utekekezaji.
 
Anakwambia alienda kununua ndunduche pale sugar ray kuingia chumban Malaya akatoa panga, jamaa alikimboa kama MiG 31B inayobeba makombora ya hypersonic aina ya Kinzhal au Dagger yaani Kh 47

hahaha anasema kilichomsaidia alikuwa hajavua chupi!
 
DSM aliiweza John Mhavile peke yake πŸ˜„πŸ˜„

Navalonge swela
Hapana, nakataa.

Japo simpendi makonda ila yule aliiweza dar.

Dar yote sio wasanii, wanasiasa, wakongwe, wanaccm, wanachadema, washamba, wajuaji, wala nganda, wote walitulizwa na comrade makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…