Tetesi: RC Chalamila kuhamishwa Dar

Jiji la DSM limekuwa kubwa siyo Mkoa tena! So Mkuu wa Mkoa mmoja hatoshi kuli manage! Population inazidi kuongezeka na shughuli za kibinadamu zinazidi kuongezeka! Huduma za jamii hazikidhi mahitaji ya watu! Malalamiko ya wananchi ni mengi!
Nadhani kuna haja ya Serikali kufikiria Temeke,Ilala na Kinondoni kila moja iwe na Mkuu wa Mkoa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…