Nobunaga JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 1,205 Reaction score 5,121 Nov 21, 2023 #1 RC Chalamila ameyasema hayo katika mkutano na wananchi wa maeneo ya Chanika alipokutana nao kusikiliza kero zao. Amesema katika utafiti walioufanya, panyaroad wengi wanatoka maeneo ya Chanika na Zingiziwa ambayo yapo wilaya ya Ilala. Your browser is not able to display this video.
RC Chalamila ameyasema hayo katika mkutano na wananchi wa maeneo ya Chanika alipokutana nao kusikiliza kero zao. Amesema katika utafiti walioufanya, panyaroad wengi wanatoka maeneo ya Chanika na Zingiziwa ambayo yapo wilaya ya Ilala. Your browser is not able to display this video.
Mrao keryo JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 1,901 Reaction score 2,566 Nov 22, 2023 #2 Sawa,ikiisha waanze operation ya kufuta mafisadi walijaa huko serikalini