RC Chalamila: Kutakuwa na operesheni maalumu ya kufuta makazi ya panyaroad

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
RC Chalamila ameyasema hayo katika mkutano na wananchi wa maeneo ya Chanika alipokutana nao kusikiliza kero zao.

Amesema katika utafiti walioufanya, panyaroad wengi wanatoka maeneo ya Chanika na Zingiziwa ambayo yapo wilaya ya Ilala.

Your browser is not able to display this video.
 
Sawa,ikiisha waanze operation ya kufuta mafisadi walijaa huko serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…