Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hakuna kinyonge kitakachorithi ufalme wa MunguMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.
Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku kadhaa zilizopita.
"Ukiona Mheshimiwa Rais anajenga soko zuri, hajengi Kwa sababu kuna mnyonge..." Alisema Chalamila.
Wanyonge mjipange kivingine ukweli ndiyo mshaambiwa hivyo.
Chanzo: Global Tv.
Sasa itakuaje kama wanyonge waliwahi kuwa na Raisi wao au alipoondoka aliondoka nao ?Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.
Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku kadhaa zilizopita.
"Ukiona Mheshimiwa Rais anajenga soko zuri, hajengi Kwa sababu kuna mnyonge..." Alisema Chalamila.
Wanyonge mjipange kivingine ukweli ndiyo mshaambiwa hivyo.
Chanzo: Global Tv.
Shauri yao...Sasa itakuaje kama wanyonge waliwahi kuwa na Raisi wao au alipoondoka aliondoka nao ?
Humu bana, hahahahaSasa itakuaje kama wanyonge waliwahi kuwa na Raisi wao au alipoondoka aliondoka nao ?
Huyu mjomba wangu huwa simuelewi....kabisaa......sijui ana shida gani ? Nadhani huyu aende Lindi au Singida huko Dar sidhani kama ana ubunifu kwa jiji hili......hapanaaMkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.
Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku kadhaa zilizopita.
"Ukiona Mheshimiwa Rais anajenga soko zuri, hajengi Kwa sababu kuna mnyonge..." Alisema Chalamila.
Wanyonge mjipange kivingine ukweli ndiyo mshaambiwa hivyo.
Chanzo: Global Tv.
Kuna nini?ππHumu bana, hahahaha
Habari ya wanyonge ameikataa...Huyu mjomba wangu huwa simuelewi....kabisaa......sijui ana shida gani ? Nadhani huyu aende Lindi au Singida huko Dar sidhani kama ana ubunifu kwa jiji hili......hapanaa
Anavuta bangi!Huyu mjomba wangu huwa simuelewi....kabisaa......sijui ana shida gani ? Nadhani huyu aende Lindi au Singida huko Dar sidhani kama ana ubunifu kwa jiji hili......hapanaa
Ganja!!Anavuta bangi!
Huyu ahamishiwe Katavi au Njombe, apeleke comedy zake uko!Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.
Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku kadhaa zilizopita.
"Ukiona Mheshimiwa Rais anajenga soko zuri, hajengi Kwa sababu kuna mnyonge..." Alisema Chalamila.
Wanyonge mjipange kivingine ukweli ndiyo mshaambiwa hivyo.
Chanzo: Global Tv.
Naambiwa Ganja ya Njombe si mchezo!! Nakumbuka marehemu Jackson Makwetta[ R.I.P.] akiwa Mbunge wa Njombe enzi hizo alisimama bungeni akishauri Ganja ihalalishwe!! Muda si mrefu Mwenyekiti wa wilaya yake wa chama tawala JACOB ULAYA [R.I.P] akakamatwa na CONTAINER ya bangi aliyokuwa anaisafirisha kwenda Ulaya!!Ganja!!
Nani alikwambia Njombe ndio wanataka comedy?Huyu ahamishiwe Katavi au Njombe, apeleke comedy zake uko!
Dar es salaam apewe Antony Mtaka!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Changudoa nao ameshindwa?Akaungane na brother k na akina mkojani wakafanye vichekesho kazi ameshindwa
Kariakoo la watu wa kipato kidogo a.k.a wanyonge?Akaungane na brother k na akina mkojani wakafanye vichekesho kazi ameshindwa
Ni kawaida yetu kuwa kama Kinyonga leo tutakuwa nao wanyonge kama upepo utakuwa unaelekea huko !Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.