RC Chalamila: Mohamed Yusufali anatumia familia ya Rais kuchafua viongozi

Hivi ile kampuni ya Itel ni ya nani?

250px-Itel-mobile-logo-vector.svg.png
 
Kwanini wasipelekane Mahakamani ? Kabla ya kupata Majibu ya pande zote mbili inawezekana huyu RC ndio anamchafua huyu bwana Yusufali..., na kutumia Kodi zetu vibaya badala ya kutatua Kero za walipa kodi wote hapo jijini kwa mujibu wa Mamlaka yake amegeuka kuwa mtetezi wa Rais (ambaye ana uwezo wa kujijitea)
 
Serikali itende haki Kwa wananchi wake wote hii ni wajibu wake na sio ombi.

Hii kesi inafanana na ya makonda na GSM, ile nyumba mikocheni,
 
Ushahidi wa Yusufali kuchafua viongozi uko wapi?

Kwa nini viongozi waliochafuliwa hawajafungua wenyewe binafsi kesi za madai ?

Kwanini wasipelekane Mahakamani ? Kabla ya kupata Majibu ya pande zote mbili inawezekana huyu RC ndio anamchafua huyu bwana Yusufali..., na kutumia Kodi zetu vibaya badala ya kutatua Kero za walipa kodi wote hapo jijini kwa mujibu wa Mamlaka yake amegeuka kuwa mtetezi wa Rais (ambaye ana uwezo wa kujijitea)
Mmesema jambo kubwa sana. Huwa nashangaa sana rasilimali za nchi zinapotumika kumlinda na kumtetea kiongozi kwa ishu binafsi za kisheria. Hili huwa linatokea sana.
 
Kwanini wasipelekane Mahakamani ? Kabla ya kupata Majibu ya pande zote mbili inawezekana huyu RC ndio anamchafua huyu bwana Yusufali..., na kutumia Kodi zetu vibaya badala ya kutatua Kero za walipa kodi wote hapo jijini kwa mujibu wa Mamlaka yake amegeuka kuwa mtetezi wa Rais (ambaye ana uwezo wa kujijitea)
TZ mahakama yenye mamlaka na ni moja tu serikali kuu na Viongozi wake
 
Mama na mwanae ni majasiri sana, wangeogopa na kuzuba yule ponjoro angeondoka na nyumba yao.

Matapeli mjini yamejaa kibao.
 
Ndio, Ni ujasiri wao Mama na mwanae kujua haki zao, kupiga kelele, kuchukua picha, kuchukua video na majirani wazuri wanaojitambua waliochukua video na kuita vyombo vya habari.

Hata hivyo huyo Yusufali na mabounce wake wanatakiwa kuwa jela kwa makosa ya utapeli, assaults, kuteka na wizi.
 
Nasema kutoka moyoni
KWA MARA YA KWANZA KABISA LEO CHALAMILA AMEFANYA JAMBO LA MAANA TANGU AJE DAR.
BIG UP CHAMMY.
Kukomesha umalaya, ulevi, uchangudoa hakuuweza na asithubutu tena kuingia kwenye anga za watu.
Dar sio Njombe
 
Back
Top Bottom