Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo Septemba 25, 2026, amewataka wafanyabiashara kuzingatia usafi wa mazingira yao ya kazi huku akitoa onyo kwa watakaokaidi.
"Mimi nikipita nikakuta uchafu mbele ya duka lako, nitafunga duka lako, nitakuchukua utalala selo kwa saa 48." - Amesema RC Albert Chalamila
"Mimi nikipita nikakuta uchafu mbele ya duka lako, nitafunga duka lako, nitakuchukua utalala selo kwa saa 48." - Amesema RC Albert Chalamila