RC Chalamila: Nikikuta uchafu mbele ya duka lako utalala selo kwa saa 48

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo Septemba 25, 2026, amewataka wafanyabiashara kuzingatia usafi wa mazingira yao ya kazi huku akitoa onyo kwa watakaokaidi.

"Mimi nikipita nikakuta uchafu mbele ya duka lako, nitafunga duka lako, nitakuchukua utalala selo kwa saa 48." - Amesema RC Albert Chalamila


Your browser is not able to display this video.






​
 
Naunga mkono hoja, mambo mengine tuachie kuchekeana
 
Huyu jamaa anajua kuweka watu ndani tu.
Hajui na yeye kuna siku atalala ndani zaidi ya masaa 48.
 
Usafi wa kudumu haujengwi kwa vitisho pekee; hujengwa kwa kubadilisha tabia, na mabadiliko ya tabia huanza na mentality, elimu, mazingira wezeshi na uwajibikaji.

Enforcement ni muhimu, lakini inapaswa kuwa sehemu ya mfumo mzima, si kuwa ndiyo mfumo wenyewe.
 

Hawa vijana nafikiri Madaraka yamewapanda vichwani. Badala ya kuja na mikakati ya kulisafisha jiji wao wako busy kuwatisha raia wake. Huu ubabe ni short term solution.
 
well done RC Chalamila 🤝💪
 
Baada ya kuabishiwa na Samiah ndio anakurupuka kutishia wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…