johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe unaishi Mbeya ipi bwashee?!Acha uongo bei ya simenti kiwandani ni ile ile ila mtaani ni tofauti alicho sema anataka wajadili hali hii sio kwamba Mbeya simenti haijapanda
Wahusika wamekusikia!Bad kama hivyo atakuwa ni mchumi mzuri,natoa wazo tumwombee apate teuzi husika aweze kutuliza hali ya soko kupitia matamko,ubunifu na mbinu nyinginezo.
Wewe uko Mbeya ama umemsikia kwa TVWewe unaishi Mbeya ipi bwashee?!
Hahahaha na BA. KiswahiliBad kama hivyo atakuwa ni mchumi mzuri,natoa wazo tumwombee apate teuzi husika aweze kutuliza hali ya soko kupitia matamko,ubunifu na mbinu nyinginezo.
Bei ya vitu haiamliwi kwa vikao na wadau sijui watu gani,haihitaji maguvu ya serikali,fanyeni mazingira ya uwekezaji na ufanyajinkazi yawe rafiki,tofauti na hapo mtakuwa mnaonea watu tu.Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu wizara ya viwanda na biashara kuandaa kikao cha wadau wa cement kujadili bei ya bidhaa hiyo.
Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo wasafirishaji cement ni sekta muhimu ya kujadiliana nao kumaliza kadhia hii.
Source ITV habari!
Sijawahi kuona mifuko ya sarujiIringa mfuko kg 50 elfu 20.
Boss funga mkanda usije shukia njianNdio safari tumeianza.
Sijui tutafika!
Huyo akapimwe kwanza akili ndiyo aendelee kurohoja,au analazimisha uwaziri?Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu wizara ya viwanda na biashara kuandaa kikao cha wadau wa cement kujadili bei ya bidhaa hiyo.
Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo wasafirishaji cement ni sekta muhimu ya kujadiliana nao kumaliza kadhia hii.
Source ITV habari!
Akili zake ndiyo zinavyo mtumaBad kama hivyo atakuwa ni mchumi mzuri,natoa wazo tumwombee apate teuzi husika aweze kutuliza hali ya soko kupitia matamko,ubunifu na mbinu nyinginezo.
Anauvizia uwaziriHii nchi ina vihere here wa taifa aiseeee....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]