RC Chalamila: Nimemwandikia barua Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda aitishe kikao cha wadau kujadili bei ya Saruji!

Jamaa huyu shule imemupita kando. Hajui tabia ya bei ya bidhaa katika soko huria inatawalia na kanuni ya "supply and demand".
 
Msimtafute mchawi.
Mchawi ni serikali na viwanda vya cement.
Hivyo viwanda vinafanya makusudi kupunguza uzalishaji.
Dangote alikuwa anauza cement Bei ya reja reja mpaka shilingi elfu 8.unajua walichomfanya?.
Alafu anakuja mtu anakwambia Mimi Ni kiongozi wa WANYONGE.leo hii wanyonge wananunua cement elfu 17,000 kwa mfuko.
Kinachomgharimu bwana Yule UMIMI.
Hataki kuona Mambo mazuri aliyoyafanya mtangulizi wake.
Rejea bandari ya bagamoyo.
 
Tuko katika kujenga na siyo kumtafuta mchawi bwashee!
 
Uzuri namba tunazisoma wote.
Hao wenye viwanda msipowatingisha.mjiandae kwa maumivu hii Hali itaenda mpaka mwakani..
Na Bei haitoshuka.ba cement itazidi kupotea.
Mtu alikuwa anauza cement elfu 8.mkaona hafai mkamuwekea vikwazo mpaka akataka kuondoka.
Mimi rais wa wanyonge [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Na anawanyonga kweli kweli.
Tuko katika kujenga na siyo kumtafuta mchawi bwashee!
 
Kwa hesabu hiyo wanaweza kupack 12.5 kgs kwa mfuko na hesabu ikaenda sawa.
 
Exactly mjinga wewe.
Serikali yetu ndo tatizo wanahamishia matatizo yao kwa wafanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…