Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa huyu shule imemupita kando. Hajui tabia ya bei ya bidhaa katika soko huria inatawalia na kanuni ya "supply and demand".Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila amemtaka Katibu mkuu Qizara ya Viwanda na Biashara kuandaa kikao cha wadau wa Cement kujadili bei ya bidhaa hiyo.
Chalamila amesema Mbeya wamefanikiwa na bei ya Cement haijapanda hivyo anataka ubunifu wake utumike katika level ya taifa ambapo wasafirishaji Cement ni sekta muhimu ya kujadiliana nao kumaliza kadhia hii.
Chanzo: ITV habari!
Safi sana mkuu wa Mkoa, huyu Katibu mkuu wa Viwanda na Biashara hata hasaidii, kwa crisis kama hiii alitakiwa kujitokeza hadharani kutoa kauli ya Serikali. Hongera sana Katibu mkuu Wizara ya Kilimo unaonekana kujua wajibu wako, kila siku tunakuona ukishughulikia kero za wananchi.Viwanda na Biashara mmeiangusha Serikali kwa hili la Cement. Ni hayo tu
Tuko katika kujenga na siyo kumtafuta mchawi bwashee!Msimtafute mchawi.
Mchawi ni serikali na viwanda vya cement.
Hivyo viwanda vinafanya makusudi kupunguza uzalishaji.
Dangote alikuwa anauza cement Bei ya reja reja mpaka shilingi elfu 8.unajua walichomfanya?.
Alafu anakuja mtu anakwambia Mimi Ni kiongozi wa WANYONGE.leo hii wanyonge wananunua cement elfu 17,000 kwa mfuko.
Kinachomgharimu bwana Yule UMIMI.
Hataki kuona Mambo mazuri aliyoyafanya mtangulizi wake.
Rejea bandari ya bagamoyo.
Tuko katika kujenga na siyo kumtafuta mchawi bwashee!
Kwa hesabu hiyo wanaweza kupack 12.5 kgs kwa mfuko na hesabu ikaenda sawa.Mimi sio Engineer wa ujenzi, lakini kutokana na uzoefu wangu wa saidia fundi, Mara nyingi mfuko wa cement una zile klai za zege 3 ambazo zinatumika kubalance uwiano wa mchanga kwenye plaster (sjui kiswahili chake vizuri) na kusakafia ..au kubalance na kokoto wakati wa kumwaga zege.kwa mantiki hiyo basi unakuta mfuko mzima unachukua uwiano wa 3:12 yaan kalai moja ya cement ina chukua kalai 4 za mchanga. Nimechangia tu sio kwamba ndo mantiki yake ..
Cement haijawahi kukosa kazi labda kama haujuiMtu unanunua saruji Kg 50 halafu unatumia Kg 20 inayobaki inaharibika
Exactly mjinga wewe.Msimtafute mchawi.
Mchawi ni serikali na viwanda vya cement.
Hivyo viwanda vinafanya makusudi kupunguza uzalishaji.
Dangote alikuwa anauza cement Bei ya reja reja mpaka shilingi elfu 8.unajua walichomfanya?.
Alafu anakuja mtu anakwambia Mimi Ni kiongozi wa WANYONGE.leo hii wanyonge wananunua cement elfu 17,000 kwa mfuko.
Kinachomgharimu bwana Yule UMIMI.
Hataki kuona Mambo mazuri aliyoyafanya mtangulizi wake.
Rejea bandari ya bagamoyo.
Boss funga mkanda usije shukia njian
Boss hauchapii usingizi ?Mawimbi ni makubwa tatizo tupo kwenye ngalawa!
Boss hauchapii usingizi ?
Na kweliiii mkuuKwa mawimbi haya hata usingizi unakimbia kiongozi.
Afisa masoko wa bidhaa husika lazima ajue hali halisi ya soko.Bei ni nzuri mikoa yote