Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi.
Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.