Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
NERNE-2025Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi.
Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
No reform no election sio ya chadema peke yake, kungekua na reform ya kueleweka mzee wa Luangwa asingekatazwa kugombea, hoja zingine zinatolewa kiuchawalism kulinda matumbo yao, PERIOD
Ni lugha ya kitaa lakini inaeleweka inataka nini.... Sio kama yeye kichwa kimekaa kama parachichi hakieleweki mara ukiangalia vizuri kichwa kama balbu yaani hivi vichwa mara nyingi dishi limecheza ...kichwa kama bilinganya juu kudogoo chini kukubwa ...Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi.
Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi.
Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
CHALAMILA UKIFANYA UCHAGUZI WAKO NA KUPIGA KURA, HAMIA KUVAA KUBASI NA BARGHASHIA YAKO HUKO MSIKITINI, HUKU UME-MHASI YESU, MIE NAKWAMBIA KWELI WALA HUWEZI KUPOKEWA TENA HUKU, KWANZA UMEUA (ULIAMRISHA KUUA), KWA SABABU YA MADARAKA, UNA UTASHI. HUWEZI KUSAMEHEWA TENA, NI DHAMBI YA MAUTI. KUNA DHAMBI MBILI AMBAZO HAZISAMEHEWI HATA KWA KITUBIO, YAANI KUUA NA KU-DHULUMU. ADIOS MIGO, KAJIUNGE KWINGINE HUKU HAKUNA CHAKO-Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi.
Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Huyu jamaa ni mzembe wa akili na kwenye ujenzi wa hoja. Hata kusoma Katiba hajui, maana hajui kuwa kuna utaratibu wa kikatiba unaweza ukafanywa ili kuongeza hup muda.Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kuwa 'no reform no election' ni lugha ya 'kitaa' lakini kwenye lugha ya kitaalamu kinachozungumzia uchaguzi ni katiba inayoelekezea ukomo wa uongozi na namna ya kufanya uchaguzi.
Chalamila ameyasema hayo Julai 8, 2025 kwenye kikao maalumu na viongozi wa dini, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.