Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam.
Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa zimetoka.
Nataka nimkumbushe tu ndugu Chalamila kuwa Njia ya Muongo ni fupi, na Mwezi November ambao huambatana na Upungufu na migao ya maji Jijini unakarabia. Sijui atatunga uwongo gani wa kutupanga tukae sawa pindi Migao ya maji ikifika.
Rais mwaka jana kipindi cha Mgao alisema ametoa fedha ili BWAWA LA KIDUNDA lijengwe. Toka wakati huo alipotoa kauli hiyo hatujapata mrejesho wa Wizara ya Maji au ya Rais kuelezea maendeleo ya Ujenzi huo. Sasa inashangaza RC Chalamila anapokuja na kupiga siasa kwenye ishu ya maji wakati wana Dar es salaam kila mwaka miezi ya November tunahenyeka kwa upungufu wa maji.
Sisi tupo tunasubiri Harakati zao za zimamoto, wako busy kupitisha bajeti za kulipana posho lakini ishu za maji wanatumia wanasiasa kulainisha watu.
RC Chalamila wana Dar tunataka Maji ya uhakika, siyo hizi blahblah za Kumpamba rais mbele ya wananchi wakati wananchi maji ni shida.
Hatudanganyiki "blaza"!